asante sana!Pole
Amani....ukiikosa hii...vyote havina maana!Pesa
Afya
Amani
Choose one[emoji20]
Bro; ni kweli kuna kitu kinakusumbua? Kama ni kitu siriazi pole sana bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hapana siko sawa
Kama ni Mhindu asiwe na wasiwasi. Atende matendo mema katika maisha haya ili akizaliwa tena aje azaliwe kama mh fulani au zaidi...Wazo zuri, fanya mikakati uzaliwe upya mkuu[emoji3] [emoji3]
True walahiJf hatupoi