Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uko sahihi kabisaAmani
Uko sahihi kabisaAmani
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nawaita mods wakucharaze ban kwa hizi emoji aisee. Hata kama ni likicheko not to this extent aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji41] [emoji41][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
we mwanamkeNasikia aliyejenga hii ni Kichwa Kichafu
Mwanamke mbinafsi huyuuu kajipatia wanaune wote wawili kwa ajili yake... Acha wanawake wenzie wamuonee wivu si wakamripotii?. Kweli adui wa mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23].... Ila huyu mwanamke kiboko- - MWANAMKE AKAMATWA NA POLISI KWA KUISHI NA WANAUME WAWILI NDANI YA NYUMBA MOJA - Maurine Atieno mkazi wa Chamgiwadu Kaunti ya Migori nchini Kenya amekamatwa sambamba na Wanaume wake wawili kutokana na majirani kulalamikia kitendo hicho wakidai sio sahihi - Chifu wa eneo hilo David Onyango amesema mwanamke huyo amekuwa akiishi na wanaume hao kama waume zake wa ndoa kwa muda wa wiki mbili - Ndoa hiyo ya mitala kwa wanaume hao ilitokea pale baada ya Maurine aliyeolewa na Robert Ochieng kurudi nyumbani akiwa na mpenzi mpya - Alimtambulisha kwa jina la John Ochola aliyempata kwenye shughuli zake za kuuza samaki huku akimtaja kuwa ni mteja wake muaminifu na kuamua kuishi nao wote kwa pamoja - Hata hivyo uongozi wa kijiji umesema hakuna sheria ambayo inaweza kutumika kuwashtaki, isipokuwa wataangalia namna ya kuwatenganisha ili kuepusha majanga yoyote yanayoweza kutokea
Wazo zuri, fanya mikakati uzaliwe upya mkuu[emoji3] [emoji3]Natamani nizaliwe upya ili nianze maisha mapya niepuke stress nilizonazo kwa sasa[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Dunia hii jamaniii [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 878910
Mkuu KKwe mwanamke