Adi wachawi??[emoji22] [emoji22]
Adui mtakie kheir,Na wao pia usiku mwema wanachokifanya hayatuhusu it’s about them
Adi wachawi??[emoji22] [emoji22]
Think twice
Tenda wema uende zako[emoji23][emoji23]
Umeunguza au ndo mapishi menyewe hayo?
Shari tupu hapa yaani....
Hahahahaha!Shari tupu hapa yaani....
Kama kajipamba mwenyewe sawa ila kama kuna shogake kampamba huyo shoga inabidi atafutwe apigwe mawe hadharani dadeki...
MeunguzaaaUmeunguza au ndo mapishi menyewe hayo?