Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5f2c07d8ac78c65ab346f8e029be593e.jpg
Kweli mamba kiboko
 
Kumbe ukijishika kitovu ndio unacheka hivyo any way usiwe mchoyo tu wa namba ya simu
 
Nyumba yoyote inapojengwa uimara wake na uwezo wake wa kuhimili jengo hutegemea sana mawe yaliyotumika kuujenga msingi. Huwezi kusimamisha jengo lenye ghorofa tatu na msingi ukaujenga kwa kutumia tofali za udongo, ni lazima nyumba hiyo itaanguka tu.

Ndivyo ilivyo ikiwa tunataka kuona mambo makubwa katika maisha yetu ni lazima tukubali kupeleka mawe imara ya neno la Mungu ili jengo lisimame na watu walione kama vile mchora ramani alivyolikusudia.
Na ikiwa mjenzi hajafuata kanuni za ujenzi wakulaumiwa si mchora ramani bali mjenzi. Neno la Mungu ni ramani tuliyopewa ikituonesha namna nyumba itapaswa kujengwa na kuonekana ila mwamuzi wa muonekano wa nyumba hiyo ni sisi.
 
Back
Top Bottom