Sauda
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 861
- 1,114
vipi mpenzihahaa
vipi mpenzihahaa
utaweza jamaniMe naona haukazwi vizuri la uyo chalii ako. Outsource iyo kazi tupe watalaam tukutulize roho
usiulize majibuutaweza jamani
inategemeana na kipondo utakachopewa wakati wa fumanizi refer Avatar yangu hapo juu,Nauliza tu wapendwa, maana naona siku za usoni nitapatwa na fumanizi la uhakika.
mhinategemeana na kipondo utakachopewa wakati wa fumanizi refer Avatar yangu hapo juu,
Ukishapona majeraha ni ruksa kuchepuka tena .
inahusiana vipi na mada mkuu?Mwaka wa 1854, Florence Nightingale alikwenda kwenye Vita vya Crimea.
Huko kulikuwa muhimu kuwatenga askari waliojeruhiwa kwa kiasi kikubwa
kutoka kwa walio jeruhiwa kiasi kidogo.
Nightingale aliweza
kupunguza viwango vya kifo kutoka 40% hadi 2% kwa kujenga dhana ya utunzaji mkubwa.
Kwa sababu ya janga la polio, Bjørn Ibsen alianzisha kitengo cha kwanza cha huduma kikubwa huko Copenhagen mwaka wa 1953.
Wagonjwa wa polio walihitaji uingizaji hewa zaidi kuliko kawaida; hii ndiyo sababu Ibsen
ilianzisha kitengo maalum kwao.
Mtu wa kwanza kutumia wazo hili
nchini Marekani alikuwa William Mosenthal, daktari katika Kituo cha Matibabu cha Dartmouth- Hitchcock.
jamani hiki nini sasaMwaka wa 1854, Florence Nightingale alikwenda kwenye Vita vya Crimea.
Huko kulikuwa muhimu kuwatenga askari waliojeruhiwa kwa kiasi kikubwa
kutoka kwa walio jeruhiwa kiasi kidogo.
Nightingale aliweza
kupunguza viwango vya kifo kutoka 40% hadi 2% kwa kujenga dhana ya utunzaji mkubwa.
Kwa sababu ya janga la polio, Bjørn Ibsen alianzisha kitengo cha kwanza cha huduma kikubwa huko Copenhagen mwaka wa 1953.
Wagonjwa wa polio walihitaji uingizaji hewa zaidi kuliko kawaida; hii ndiyo sababu Ibsen
ilianzisha kitengo maalum kwao.
Mtu wa kwanza kutumia wazo hili
nchini Marekani alikuwa William Mosenthal, daktari katika Kituo cha Matibabu cha Dartmouth- Hitchcock.
(International Civil Aviation Organization.inahusiana vipi na mada mkuu?
poa ...toto umzima ""!!?vipi mpenzi
umemeza viagra nini "?? ... mbona uko nje ya madaMwaka wa 1854, Florence Nightingale alikwenda kwenye Vita vya Crimea.
Huko kulikuwa muhimu kuwatenga askari waliojeruhiwa kwa kiasi kikubwa
kutoka kwa walio jeruhiwa kiasi kidogo.
Nightingale aliweza
kupunguza viwango vya kifo kutoka 40% hadi 2% kwa kujenga dhana ya utunzaji mkubwa.
Kwa sababu ya janga la polio, Bjørn Ibsen alianzisha kitengo cha kwanza cha huduma kikubwa huko Copenhagen mwaka wa 1953.
Wagonjwa wa polio walihitaji uingizaji hewa zaidi kuliko kawaida; hii ndiyo sababu Ibsen
ilianzisha kitengo maalum kwao.
Mtu wa kwanza kutumia wazo hili
nchini Marekani alikuwa William Mosenthal, daktari katika Kituo cha Matibabu cha Dartmouth- Hitchcock.
ukitoka tu hapo nenda kwa mwingine ukaendeleze, maana wanakua wamekukatia utamu.Nauliza tu wapendwa, maana naona siku za usoni nitapatwa na fumanizi la uhakika.
jamani mbona hivoHili shoga kwa nn lisipigwe Ban?
Nauliza tu wapendwa, maana naona siku za usoni nitapatwa na fumanizi la uhakika.
Unajidharilisha saanajamani mbona hivo
siyo vizuri kuniombea nipigwe ban jamaniUnajidharilisha saana
Mkuu, hilo ni dume. Refer thread zakepoa ...toto umzima ""!!?