Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kabisa mkuu. Kwenye kifo kweli Muumba Alituweza. No way out kabisa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu ampokee mana siku hizi watu wanakufa kiajabu sana ujue, hadi ukiambiwa unabaki mdomo wazi, ukihisi pengine amefanya wrong choice, lakini yote kwa yote, tumuachie Mungu na marehemu watayamaliza huko, mana nasi tuko safarini, Mulo mwema wadau wangu wa nguvu nchi ni yetu na tumezaliwa hapahapa na kifo tutazikwa hapa hapa,