*WOGA WAKATI* *MWINGINE HAUJENGI:*
Mke alimwambia mume wake: [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]Mume wangu* kuna mtu ananitongoza. [emoji847][emoji847][emoji847]Mume: We mkubali e halafu mwambie aje mfanyie hapa nyumban, mimi nitajificha uvunguni mwa kitanda ili nimwonyeshe kazi.
Siku ilipofika
Jamaa akaja alipovua nguo demu akaona makovu akamuuliza, mbona una makovu hivyo? Jamaa: akajbu hii yote ni Kwa ajili ya kufumaniwa. Mimi huwa nafumaniwa sana, ila wote walionifumania nimewaua wote jumla maiti,19. Jamaa alitulia uvunguni mpaka wakamaliza mambo na yule jamaa akaondoka ,mke akauliza sasa umefanya nini mme akajibu pumbavu ulitaka niwe maiti ya 20 *usicheke*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji2383][emoji125][emoji2383][emoji125][emoji2383][emoji125][emoji2383][emoji125][emoji2383]