Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180927-WA0075.jpeg
 
Kweli...ila ana hasira kwenye utetezi wake
Nadhani ni strategy wamempa. Awe mkali. Asionekane goi goi ili kuproject power na trustworthiness. Wakishindwa kumthibitisha Republicans watakuwa wameharibu kila kitu. Ni suala la kufa na kupona hasa ukizingatia kuwa kuna uchaguzi Novemba na kulingana na utata wa Trump hawana uhakika kama wataweza kuendelea kuwa wengi kwenye Senate na Congress. Wakipoteza hii nafasi basi tena...
 
UKIJIZOEZA TABIA HIZI KUMI, NI NGUMU SANA KUZIACHA

1.Kung’ata kucha.
2.Kuliza viungo vya mwili (Cracking joint) kama vidole nk.
3.Kuvuta maneno “ummm” au “aaaaah” kila unapotaka kusema jambo. Mfano aaaah unajua… ummm sio kweli…

4.Kulamba kidole kabla ya kufanya kazi au kufungua ukurasa wa kitabu.
5.Kuchezea chezea nywele.(akina dada)
6.Kutawaliwa na mitandao ya kijamii.
7.Kuvuta wa sigara, Ugoro nk.
8.Kula ovyo, ofisini, nyumbani, njiani, Au wengine huamka usiku wa manane kula.
9.Umbea(gossiping). Kuna watu hawawezi kujizuia kutunza Siri.
10.Kujichua (Kupiga punyeto.)

Namba 6 hapo ni ishu...

Namba 9 inakuhusu na shogako...

Namba 10 ni hatari sana o level huko mabwenini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nadhani ni strategy wamempa. Awe mkali. Asionekane goi goi ili kuproject power na trustworthiness. Wakishindwa kumthibitisha Republicans watakuwa wameharibu kila kitu. Ni suala la kufa na kupona hasa ukizingatia kuwa kuna uchaguzi Novemba na kulingana na utata wa Trump hawana uhakika kama wataweza kuendelea kuwa wengi kwenye Senate na Congress. Wakipoteza hii nafasi basi tena...
Kweli...ngoja warudi kwenye break tuone...
 
MAMBO KUMI YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUACHA POMBE

1.Kama ni mlevi uliyebobea na unahisi huwezikuacha kwa siku moja, anza kwa kupunguza kiwango cha kunywa, yaani kama unakunywa bia tatu kwa siku, anza kunywa moja, baadae moja kwa siku mbili mpaka utakapozoea kuishi bila pombe.

2.Epuka kuweka kilevi au pombe nyumbani au sehemu ya kazi ili kuepuka majaribu.

3.Usipende kuruka mlo, kula chakula mara 3 mpaka nne (4) kwa siku ili kuupatia mwili virutubisho vyote muhimu.
Thank you Jesus kwa kuniachisha pombe wakati ndiyo ilikuwa imeanza kunoga sasa. 3 years+ and counting...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom