Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safi kabisa bro bro brooooThank you Jesus kwa kuniachisha pombe wakati ndiyo ilikuwa imeanza kunoga sasa. 3 years+ and counting...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23] No comment!6. Hunywa vinywaji moja kwa moja kwenye mdomo wa chupa bila kutumia glass wala vikombe. Na akipika, basi atakula kwa kutumia chombo hiucho hicho alichopikia.
7.Kutopenda kupika na kula mkate au matunda yote yaliyohifadhiwa kwa wakati mmoja. Wakati mwingine hununua vyakula vingi kupita kiasi na kuacha viharibike bila kupiuka wala kuvitumia.
8. Kucheza michezo ya kitoto ndani, na mara nyingi kuwa mchafu kupitiliza.
9.Kutojali kutengeneza vitu vilivyoharibika kwa wakati.
10. Hawapendi wageni wanaokuja bila taarifa kwani wengi wanachojali ni nguo zao tu, kwa kuwa ndizo zitakazoonekana wanapotoka!
[emoji23][emoji23][emoji23] No comment!
Mungu ni mwema sana...Na miracles zipo. Kutoka kunywa bia 6+ kila siku na kuacha kabisa overnight. Mungu Ana kusudi na maisha ya kila mmoja wetu. Tusichoke kujitafuta na kujifahamu sisi ni nani na Tupo hapa kwenye haka kasayari kazuri kwa kusudi gani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Safi kabisa bro bro broooo
Unafikaga na huku?[emoji23][emoji23][emoji23] No comment!
Nimekufuata wewe uje ututembelee maana umetususa siku nyingi[emoji6]Unafikaga na huku?
Mbona jana nimekesha huko nikiwachekesha? Na leo nitafika ngoja tu muda ufike !!!Nimekufuata wewe uje ututembelee maana umetususa siku nyingi[emoji6]