Mbona jana nimekesha huko nikiwachekesha? Na leo nitafika ngoja tu muda ufike !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namba 6 hapo ni ishu...
Namba 9 inakuhusu na shogako...
Namba 10 ni hatari sana o level huko mabwenini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]