Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani wakuu nina hoja, kuna jamaa nimekutana nao wanabishana kuhusu binti kupewa uja uzito na ili hali yuko shuleni, bada ya sheria kufata mkondo wake kwa mtuhumiwa aliyesababisha mimba, eti mmoja akamwambie mwenzie imepitishwa kuwa kama familiya binti italizia na sawa kumtoa binti ya mimba na aendelee na masomo( abortion)ifanyike, je ni kweli, je kweli ni sahihi kumtoa binti mimba na akaendelea na masomo, naomba jibu,
 
Nijibu wakuu
 
Mkuu kwa sasa masuala yasiyokuhusu ni ya kupitia mbali kabisaaa,je kama binti atakubali na familia pia. Iwe sahihi au sio sahihi hayatuhusu,ulimwengu wa sasa unaendeshwa na slogan ya mind your own business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…