Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,236
mmh...even ..carp...er??I am still lonely
I have nobody
Mwenzio kalalamika... ndio umuache solemba!??
Rudi muyamalize kikubwa... ...
mmh...even ..carp...er??I am still lonely
I have nobody
Bro mbona mapema sana. Are you OK?Mkawe na usiku mwema Wakuu
Ameen...Mkawe na usiku mwema Wakuu
Am ok bro vipi mitikasiBro mbona mapema sana. Are you OK?
Usiku Mkubwa huu siyo JioniAmeen...
Nawe jioni njema pia....
May be we live different place....Usiku Mkubwa huu siyo Jioni
Poa tu bro. Nilikuona juzi ukimwambia eksi wako kuwa haukuwa OK. Kama uko sawa basi tumshukuru Mungu bro...Am ok bro vipi mitikasi
Good .... ...Poa tu bro. Nilikuona juzi ukimwambia eksi wako kuwa haukuwa OK. Kama uko sawa basi tumshukuru Mungu bro...
Ukiwa na issues na unataka mtu wa kuongea naye na kupata unbiased opinion au ushauri man to man I am here bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Again you are not alone....I am still lonely
I have nobody