Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nimeliona hili. Misiba sasa imegeuka show off. Ukiwa masikini wanakuja wanazika hataka haraka wanakwenda zao. Kama una pesa msiba utanoga hata wiki watu wamepiga kambi na watu wanajitoa kweli kweli. Sad !!!
Word. Jana nikajikuta nimekwama kwenye freeway. Yaani bampa tu bampa lisaa lizima. Watu wako stressed out honi zinapigwa kila kona. Ukikosea mido finga inakuhusu. Kwa bahati nzuri ndiyo nimemaliza kusoma baadhi ya maandiko ya Deepak Chopra. Anachosisitiza sana ni utangamano. The flow of the universe. Harmony with nature. Kwamba kinafsiya kamwe usikinzane na nguvu za kimaumbile hasa katika level ya physicality kwa sababu huwezi kuzishinda na hutabadili cho chote. Nilijiuliza: Hata nikiwa frustrated na presha kunipanda hapa itanisaidia nini? Basi wenye haraka nikawa nawapisha. Wengine wanacut off hapo hapo mbele yako unamuona wala hakuwashii indiketa anakuja tu. Niliona mabadiliko makubwa sana na kidogo nikarelax. Halafu kumbe congestion yenyewe ilikuwa imesababishwa na ajali mbaya sana semi trailer limevaana na pikapu na watu wanne kwenye pikapu wamefariki papo hapo. Ndipo ubinafsi wetu binadamu ukanipambazukia: Hapa kuna watu wamefariki na sisi huku tulio wazima tumekasirika watu kutukanana na kupeana mido finga kisa tunachelewa tunakoenda...
Aiseh[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sawa. Ukisahau nitakukumbushaHii naomba nipe Homework lakini ya wiki nzima.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Word. Jana nikajikuta nimekwama kwenye freeway. Yaani bampa tu bampa lisaa lizima. Watu wako stressed out honi zinapigwa kila kona. Ukikosea mido finga inakuhusu. Kwa bahati nzuri ndiyo nimemaliza kusoma baadhi ya maandiko ya Deepak Chopra. Anachosisitiza sana ni utangamano. The flow of the universe. Harmony with nature. Kwamba kinafsiya kamwe usikinzane na nguvu za kimaumbile hasa katika level ya physicality kwa sababu huwezi kuzishinda na hutabadili cho chote. Nilijiuliza: Hata nikiwa frustrated na presha kunipanda hapa itanisaidia nini? Basi wenye haraka nikawa nawapisha. Wengine wanacut off hapo hapo mbele yako unamuona wala hakuwashii indiketa anakuja tu. Niliona mabadiliko makubwa sana na kidogo nikarelax. Halafu kumbe congestion yenyewe ilikuwa imesababishwa na ajali mbaya sana semi trailer limevaana na pikapu na watu wanne kwenye pikapu wamefariki papo hapo. Ndipo ubinafsi wetu binadamu ukanipambazukia: Hapa kuna watu wamefariki na sisi huku tulio wazima tumekasirika watu kutukanana na kupeana mido finga kisa tunachelewa tunakoenda...
Itachukua muda na inahitaji mazoea lakini ukiweza kuwa calm kwenye stressful situations aisee utaishi maisha safi sana. Jana nimeonja utamu wake....
Sorry kwa gazeti potiii[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Jamani Aseno tumecheza leo? Hali yetu ikoje? Au na sisi tumemMourinyiwa?
Leo mmechonga droo,hakuna wa kumcheka mwenzie
Sina aiseUnacho soft copy Consuela?
Mungu ni mwema. Habari ya majukumu kiongozi?Mzee habari za huko Mafiati
Pole mkuu..ndivyo yalivyo...Word. Jana nikajikuta nimekwama kwenye freeway. Yaani bampa tu bampa lisaa lizima. Watu wako stressed out honi zinapigwa kila kona. Ukikosea mido finga inakuhusu. Kwa bahati nzuri ndiyo nimemaliza kusoma baadhi ya maandiko ya Deepak Chopra. Anachosisitiza sana ni utangamano. The flow of the universe. Harmony with nature. Kwamba kinafsiya kamwe usikinzane na nguvu za kimaumbile hasa katika level ya physicality kwa sababu huwezi kuzishinda na hutabadili cho chote. Nilijiuliza: Hata nikiwa frustrated na presha kunipanda hapa itanisaidia nini? Basi wenye haraka nikawa nawapisha. Wengine wanacut off hapo hapo mbele yako unamuona wala hakuwashii indiketa anakuja tu. Niliona mabadiliko makubwa sana na kidogo nikarelax. Halafu kumbe congestion yenyewe ilikuwa imesababishwa na ajali mbaya sana semi trailer limevaana na pikapu na watu wanne kwenye pikapu wamefariki papo hapo. Ndipo ubinafsi wetu binadamu ukanipambazukia: Hapa kuna watu wamefariki na sisi huku tulio wazima tumekasirika watu kutukanana na kupeana mido finga kisa tunachelewa tunakoenda...
Itachukua muda na inahitaji mazoea lakini ukiweza kuwa calm kwenye stressful situations aisee utaishi maisha safi sana. Jana nimeonja utamu wake....
Sorry kwa gazeti potiii[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Am busy na carbamazepine kula ubuyu,nshasahau epl[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jifariji tu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna wa kumcheka mwenziye? Msimu huu mtalia sana kudadadeki [emoji16][emoji16][emoji16]Leo mmechonga droo,hakuna wa kumcheka mwenzie
Umesahau kwa vile mmefungwa? Mngekuwa mmeshinda ungesahau?Am busy na carbamazepine kula ubuyu,nshasahau epl[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 881738
Anatia huluma mshikaji, da man u, kweli wamekuwa mashetani mdebwedoHakuna wa kumcheka mwenziye? Msimu huu mtalia sana kudadadeki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 881752
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunacheka tu bana tushazoeaHakuna wa kumcheka mwenziye? Msimu huu mtalia sana kudadadeki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 881752