Naona unarembua na sauti[emoji23] [emoji23] mbona sio gumu kiivyo
Hakika hata mimi leo nimeaibika mbele za watu kabisa naomba tusameheane mama.Sema hapa hapa sitaki mambo ya pm umenisaliti mbele za watu inaniuma sana
Gujur viyravash?Paiausbe vigruuu
Me pronouncing inanishimda[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hakika upepo ulio mpitia kichwa ni mchafuVyeo hua vinashuka haraka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upumbavu mtupuUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
GauchoRonaldinho
Unajua haka ka wiki chote nilikua hom nimepumzika sasa kesho kibarua kinaitaAcha uoga wa kwenda kazini, kazi ni zilezile na boss ni yule yule
De limaRonaldinho
carbamazepine naomba uniache lakiniUlisalitiwa kwa nani vile?
Fundi huyuGaucho
Sio kwangu, yaani yeye akalale kwake sitaki kuongea naeTayari....
FilsSamuel Eto'o