Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nimerudi japo kwa aibu kubwa ila heri tu iwe uvyo ila nimerudi mamaNakunyima nilichokupa usiku wa jana kwa kuwa hivi sasa hustaili kupewa
Nimerudi japo kwa aibu kubwa ila heri tu iwe uvyo ila nimerudi mamaNakunyima nilichokupa usiku wa jana kwa kuwa hivi sasa hustaili kupewa
Pambio hatuimbi tena?sammyluv unajua
Hebu naomba nije pm vizuri tuzungumze
Niambie hiyo mpya lakini ujue nimenuna@summyluv @summyluv naomba tuzungumze kidogo maana mi ni mpya wanauzi mashaidi
Anajua uniqPressure ipi
YupKila siku iwe sikukuu
Majuto huja mwisho wa safariNilikuambia mapema
Naona kaanza kukuimbisha tenaWa kulaumiwa ni huyo kichwa anayetaka kushika mawili
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitaki
Buku shing mia tano si pesaSi kwa usawa huu wa magu
Msimamo wakoKwamba?nimekwambia bahati haiji mara mbili??
Tangu jana huelewi tu?Mbona simuoni babe S?
Ulisalitiwa kwa nani vile?Sema hapa hapa sitaki mambo ya pm umenisaliti mbele za watu inaniuma sana
Tupo mkuuNi nzuri tu mkuu
Kuanzia sasa wewe ni kaka [emoji125] [emoji125]Msimamo wako