Ila jina lako gumu kuliko ugumu wa maisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Pamoja mkuu
Ni kakaangu huyoFrom honey to bro,aiseehh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni nzuri tu mkuuKwema mkuu, habari ya weekend?
Call me JMaana yake nini hilo neno?
Usimuamini kabisaaaHabari njema hizi. Nani tena mkuu
Nzuri mkuu uniq karibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Cocochanel, Babe S, GeJo, KK aka Kichwa Kichafu, dogo Andjul, nsamaka, BigBaba, Aleyn, ISIS, Cole Williams, Carbamazepine, Shimba ya Buyenze, gbefa na wengine wote....
Niliwamiss sana watu wangu wa nguvu. Habari za siku mbili tatu?
Nakunyima nilichokupa usiku wa jana kwa kuwa hivi sasa hustaili kupewaMmmmh!
Unataka kuninyima nini hadi uniite bro
Weka wazi kabisaBahati haiji mara mbili,nasema tu[emoji125] [emoji125]
YapMzee wa liver
Nilipaliwa tu mkuuKwamba ile dawa nilisahau kukupatia?
Wewe ni mtabiri kamiliNATABIRI.
Kagame lazima atashinda Urais Rwanda.
Na wewe unataka kutupiamo mkuu?Pole