Unatekenya ehhHuu uzi unanipa raha kwakweli
Niliipata toka kwa mtu nikaipenda sababu ya hiyo miwani mana in real life navaa ndo mana ikanivutia...
Kusema kweli ni mahali pazuri pa ku-rewind, kucheka na ku-reflect...
Hiyo picha kwenye avatar yako uliipata wapi?
Hiyo miwani inakupa ile look ya hot librarian...
Motoooooo.....
Naomba tuwaonyeshe mama ujinga nilioufanya hizo siku naomba unisamehe mamaUmenitoka nilijua ni habari tu za watu kumbe kweli hujatulia
Hata sijui, alikimbilia huko China. Pep alimaliza hiki kipaji.
Huyu dogo alishastaafu soka ama?
Kazi muhimu..burudani muhimu.. mapenzi zaidiUnajua haka ka wiki chote nilikua hom nimepumzika sasa kesho kibarua kinaita
Ni kweli, ila kesho tukae kamati tuyajenge ili umsamehe.Wa kulaumiwa ni huyo kichwa anayetaka kushika mawili
Uzee wa data nadhani nitamwachia Mzee wa Ini...Its ok usijal just call me carba,mzee wa data unasahau vipi tena?
DooohNaona unarembua na sauti
Teh..teh..tehhhhh...tehhHakika upepo ulio mpitia kichwa ni mchafu
Ile pesa mi nitakupa hata sasa maana sina neno ila naomba unielewe naenda kupotea wewe ndie muimili wangu uliobaki sina mengi leoWee mi simtaki la msingi anipe tu ile hela nilipe kodi ya watu
Leo tunakesha humuSaa nne hiyo inajikongoja
Tena sanaHakika upepo ulio mpitia kichwa ni mchafu