Mfano mzuri ni yule mwanamke aliyekuwa akivuja damu kwa miaka 12. Alipomgusa Yesu, Yesu Alishtuka na kuuliza "Nani amenigusa?" Wanafunzi wake walishangazwa na swali lile kulingana na umati mkubwa uliokuwepo na wengi waliokuwa wakimgusa Yesu siku ile. Mwanamke yule alimgusa Yesu kwa imani na imani yake ndiyo ilimshtua Yesu. Wachungaji maarufu, makanisa makubwa, watenda miujiza, madhehebu na mengineyo yote ni bure mbele za Mungu kama hatuna imani ya kweli.
Asante kwa somo zuri mpendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]