Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madikteta uchwara on the loose all over the globe, emboldened by the so called the most powerful man in the world. The world have since changed and we, the citizenry, have to adapt accordingly. Democracy and the freedom of expression is under threat all over the globe. We are in new chartered waters folks....
 
Katika wale waliokuwa karibu sana na Yesu inawezekana walikuwa na mahitaji ya kutaka
watendewe miujiza lakini hawakupokea kwa sababu hawakujipambanua hata kuwa na agenda
ya kwenda nayo mbele za Yesu. Inaonekana walikazana na kuzingatia taratibu za siku zote za
mahali pale. Kuna watu walikuwa wanamfuata Yesu ili wamwone ni mtu wa namna gani au
kufuata mkumbo kutokana watu wengi kukusanyika na wengine walikuwa wakitaka kumtega ili
wamshitaki wakati wengine walitaka tena kulishwa mikate n.k. Wakati imani inapotenda kazi
na uwepo wa Mungu ukishuka, taratibu za kawaida za kibinadamu huweza huvurugika
hivyo usifungwe na mapokeo ya utaratibu wa kibinadamu (dini).
Weka mahitaji yako vizuri mbele za Mungu na kumwamini kwa moyo wote ya kuwa atatenda
kwa wakati wake, naye atafanya. Usimwendee Mungu kwa kutegemea umaarufu wa mhubiri au
kikundi fulani ili kupata mujuiza kama ambavyo wengi wamekuwa wakifanya na kujikuta
wakikosa majibu na hata pengine kutumbukia katika imani potofu. Siyo vibaya kwenda kwa
watumishi maarufu walioinuliwa na Mungu katika kizazi chetu lakini weka imani yako kwa
Mungu, hakikisha una agenda na hauendi kwa ushabiki au vishawishi. Ifahamu kweli ya
Mungu na iruhusu hiyo kweli ikuweke huru.
 
Kuna watu wanaona kama tunakomoa tukisema but this is us soon for sure.
 
Mfano mzuri ni yule mwanamke aliyekuwa akivuja damu kwa miaka 12. Alipomgusa Yesu, Yesu Alishtuka na kuuliza "Nani amenigusa?" Wanafunzi wake walishangazwa na swali lile kulingana na umati mkubwa uliokuwepo na wengi waliokuwa wakimgusa Yesu siku ile. Mwanamke yule alimgusa Yesu kwa imani na imani yake ndiyo ilimshtua Yesu. Wachungaji maarufu, makanisa makubwa, watenda miujiza, madhehebu na mengineyo yote ni bure mbele za Mungu kama hatuna imani ya kweli.

Asante kwa somo zuri mpendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Tabia za imani.

Kabla ya kuanza kujifunza kanuni muhimu za kufanya imani ikue ni vizuri kuelewa kuhusu
tabia za imani: -
i. Dhaifu / pungufu - matokeo yake ni kushindwa au kuwa na matokeo kidogo sana (Lk 22:
31-32).
Mathayo 17: 17 Yesu akajibu, akasema, Enyi kizazi kisichoamini, kilichopotoka, nitakaa
pamoja nanyi hata lini? Nitachukuliana nanyi hata lini? Mleteni huku kwangu. 18 Yesu
akamkemea pepo, naye akamtoka; yule kijana akapona tangu saa ile. 19 Kisha wale
wanafunzi wakamwendea Yesu kwa faragha wakasema Mbona sisi hatukuweza kumtoa? 20
Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia,
Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende
kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu. 21 Lakini namna hii
haitoki ila kwa kusali na kufunga.
 
Asante pia kwa mfano halisia.
[emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…