sammyluv
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 930
- 6,156
Ayajenge na nani mi kesho tu napata limupenzi lipya humu humuAcha wenzio wayajenge bhana
Ayajenge na nani mi kesho tu napata limupenzi lipya humu humuAcha wenzio wayajenge bhana
UjazweeeeJazaaaaaaaaa
NA NANI?Ati nini? Utaviweza vita mkuu? Jakitoo keshatwaliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani mbona leo mnanichinjia baharini hata damu hazionekaniTatizo ni zile pete alizokuwa anawavua wengine halafu anazileta kwako. Sema tu unaweza usimsamehe kabisa, mbona tupo wengi tu....
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] walaaa sikukununia. Nimeipenda, maana nimeiangalia mara sita ndani ya dakika. Angalia viewers...
Kapoteza bahati huyu[emoji23] [emoji23]Cole mmhurumiage jamani!
Mpaka muda huu hakuna alichoongea cha msingi zaidi ya kulalamikaTayari [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nipe update. Umemgaragaza Mzee wa Ini au nawe umetafuta mnyonge wako?Kwangu mm njema saana maana leo nimempata anipendae
Haya haya... Wenye nyota zao sasa
Kusema kweli ni mahali pazuri pa ku-rewind, kucheka na ku-reflect...
Hiyo picha kwenye avatar yako uliipata wapi?
Hiyo miwani inakupa ile look ya hot librarian...
Motoooooo.....
JakitooMtaje
AsubuhiKesho
Pole kaa na maji karibuLeo napaliwa kweli sijui kwanini
[emoji116] [emoji116] jenga nyumba yako hukuJamani mbona leo mnanichinjia baharini hata damu hazionekani
Mpaka muda huu hakuna alichoongea cha msingi zaidi ya kulalamika
Sina haja ya kujitetea na sema ukweli tu.Masaa mawili mengi sana nakupa nusu saa uje na utetezi wa kujitosheleza
Utalipasua koo sasa, usisikie kitu???Koh koh
Zipo ngapi?Lakini pia mkabidhi pete zote ulizonazo
AsanteMafanikio