Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Walikaangwa na volikeno laivu...Wapenda raha hao...
Walikaangwa na volikeno laivu...Wapenda raha hao...
Binadamu anaigaKila mahali ni vipigo tu kwa akina mamaView attachment 884854
Kufanikiwa kwenye mahusiano kukoje? Hata usome vitabu vyote hapa duniani, mambo haya ni magumu sana mpaka uingie ujaribu. Ishi na mtu ujaribu hizi nadharia kama zinafanya kazi. Hawa washauri wa ndoa na motivesheno speakers wanadokoa dokoa saikolojia huku na huko na kuandika tu. Ngoma ingia uicheze ohooo [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Tabia Za watu Waliofanikiwa Katika Mahusiano
1.Wako pamoja kwa sababu sahihi
2.Wana matarajio ya kweli kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi
3.Kitu cha muhimu kwao sio mawasiliano bali ni Heshima kwa kila mmoja
4.Wako wazi, huongea kila kitu wazi , hasa yale mambo yanayowaumiza.
5.Mahusiano yenye afya yana husisha watu wawili wenye afya.
6.Hupeana nafasi
7.Wewe na mwenza wako mnakua na kubadilika kwa njia zisizotarajiwa. kumbatia hilo
8.Mnapita katika mazuri na mapigano.
9.Mnapita katika mazuri na magumu lakini mnasameheana.
10.Vitu vidogo vinaongeza vitu vikubwa.
11. Sex matters…a lot.
12.Hutengeneza kanuni za kwao za mahusiano
13.Hujifunza kuyapiga mawimbi .
Am I wrong?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ooooppps!!sorry[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natamani nitie neno ila vidole vimegoma ku type[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh !!!Kila mahali ni vipigo tu kwa akina mamaView attachment 884854
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂u.b.u.y.uWewe kweli ni tatizo...
Uhuru ni hekima......
Don't take things you see here seriously. Halafu nina ubuyu mkali mtamu wa moto sijui nikupe au nikaushe tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh!!! Wagonjwa ni wengiiNumby beibiiiView attachment 884856
Ubuyu (read ...chambo)....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]u.b.u.y.u
Am [emoji102][emoji102][emoji102]Oh Jizazi...Tena leo nakesha sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kizazi chote cha sasa. 25 and below...Numbisa na group lake humu...makelele mengi kumbe kila saa ni kuselfishika tu...Duh!!! Wagonjwa ni wenhi
Kweli kabisa mkuu..Kizazi chote cha sasa. 25 and below...Numbisa na group lake humu...makelele mengi kumbe kila saa ni kuselfishika tu...
Mfungua mlango leo ni nani? Mtu Chake au Zurri? Au ni wewe? Au Thad?Am [emoji102][emoji102][emoji102]
Sana. Ukienda insta kule ndio utajua wagonjwa ni wengiDuh!!! Wagonjwa ni wengii