Wapo ninao wafahamu ni weusi utadhani nimezaliwa nao mama mmoja, ajabu kwenye picha za mtandaoni wanaonekana wa njano wote na hawana visunzua usoni
Recently nimeona picha ya star mmoja wa bongo muvi sikumtambua nasoma caption naona jina lake yaani nlisemea kwa sauti kubwa ni wewe kweli ?🤣🤣🤣🤣