Wapo ninao wafahamu ni weusi utadhani nimezaliwa nao mama mmoja, ajabu kwenye picha za mtandaoni wanaonekana wa njano wote na hawana visunzua usoni
Ushawahi kuniona na msambwanda???[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Je na msambwanda kama wako unategemea nn
Najua shem[emoji23][emoji23]Fuata ushauri alio kupa Cole....amu availabo....ene taimu...
Poa mzeeSafi mkuu, mambo vipi
[emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wee acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ankooo... Mmwaaa View attachment 884963
Ndiyo hapa unatuzuga na madude yakoUshawahi kuniona na msambwanda???[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 884982
Changamka sasaNajua shem[emoji23][emoji23]View attachment 884984
Uwoya anaongoza kwa kuzichubua picha zakeRecently nimeona picha ya star mmoja wa bongo muvi sikumtambua nasoma caption naona jina lake yaani nlisemea kwa sauti kubwa ni wewe kweli ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uwoya anaongoza kwa kuzichubua picha zake
Mama na mwana