Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji106]
IMG-20180815-WA0000.jpg
 
moudgulf, unamkumbuka huyu Bwana? Kijana wa mitaa yetu Mkuu, Dingi wake alikuwaga na ka Fumigation flani hivi pale Makunganya Street, karibu na sanamu wa Bismini!
Anawatia aibu watoto wa mtaa wenu. Binafsi ningekuwa mimi nisingependa wawe viongozi kwenye maeneo yanayoingiliana na watu moja kwa moja. Wengi wao huwa hawana hata fununu kuhusu uongozi na hasa jinsi ya kufanya kazi na wengine. Wanafikiri hata binadamu ni sawa na fomyula walizozoea.
 
moudgulf, unamkumbuka huyu Bwana? Kijana wa mitaa yetu Mkuu, Dingi wake alikuwaga na ka Fumigation flani hivi pale Makunganya Street, karibu na sanamu wa Bismini!
Anawatia aibu watoto wa mtaa wenu. Binafsi ningekuwa mimi nisingependa wanasayansi wawe viongozi kwenye maeneo yanayoingiliana na watu moja kwa moja. Wengi wao huwa hawana hata fununu kuhusu uongozi na hasa jinsi ya kufanya kazi na wengine. Wanafikiri hata binadamu ni sawa na fomyula walizozoea.
 
Huu sasa mtihani. Moud kaa mkao wa kula nakuja kuuliza maswali kuhusu upande huo wa pili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Rais Magufuli awashauri wanaume kuoa wake wengi ili kupunguza ukahaba TZ

*Rais Magufuli awashauri wanaume kuoa wake wengi ili kupunguza ukahaba TZ*

_*Rais wa Tanzania John Magufuli amewashauri wanaume nchini humo kuoa wanawake wawili au zaidi kama njia ya kupunguza ukahaba miongoni mwa wanawake wa Tanzania.*_

Magufuli alisema kuwa wanawake wengi ambao hawajaolewa wanalizimika kushiriki uasherati na waume za watu kwa sababu kuna ukosefu wa wanaume wa kuwaoa.
Amesema kuwa kuna idadi kubwa ya wanawake nchini Tanzania na kulingana naye kuna wanawake milioni 40 kwa wanaume milioni 30.

“Siwalazimishi, lakini ninawashauri kuoa wake wawilia au zaidi ili kupunguza idadi ya wanawake wasio na waume,” Magufuli aliuambia mkutano wa wanaume 14,000 ambao walipokea mafunzo katika nyanja tofauti mjini Dar es Salaam.

“Wanawake wetu wanalia kila siku kutokana na ukosefu wa wanaume wa kuwaoa na kuwasaidia kiuchumi na ndio maana wanashiriki ukahaba. Kwa hivyo tafadhali fanya kazi kwa bidii ili muwasaidie wanawake wetu kwa kuoa wake wawili zaidi bora tu una uwezo wa kuwahudumia,” aliongeza.

Tanzania ina viwango vya juu vya ukahaba Afrika Mashariki miongoni kwa wasichana na wanawake wasio shuleni au wasio na ajira.
 
Jicho linaloona rangi nyingi zaidi
Watu wengi wana uwezo wa kuona rangi zipatazo milioni moja, japokuwa watu wenye upofu wa rangi huona rangi zipatazo 100,000 tu. Kinyume chake, wenye uwezo mkubwa zaidi wa kuona rangi (tetrachromacy) wanaweza kubaini rangi zipatazo milioni 99!
 
Nywele nyeupe
Pamoja na watoto wengi (weupe au wa Kizungu) kuzaliwa na nywele nyeupe, wengi wao nywele hizo hubadilika na kuwa nyeusi wanapokua. Hivyo watu wazima wenye nywele nyeupe ni kati ya asilimia 2 na 16% tu.
 
Macho ya bluu
Ni asilimia 8 tu ya wanadamu wana macho ya blue. Hali hii inayosababishwa na vinasaba hivi sasa imejitokeza zaidi. Inakadiriwa kwamba binadamu wa kwanza wenye macho ya bluu waliibuka kati ya miaka 6,000 na 10,000 iliyopita.
 
Back
Top Bottom