Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
7. Huwezi Kuchezesha Pua Yako Kulia Na Kushoto
(Sijasema ujaribu kufanya zoezi hili)
6. Huwezi Kuokota Kitu Chini Ukiwa Umeegamia Ukuta Na Visigino Vyako Vimegusa Ukuta Huo
fanya zoezi lifuatalo; Simama ukiwa umenyooka huku sehemu ya nyuma ya miguu yako (visigino) vikiwa vimegusa ukuta. jaribu kuokota kitu mbele ya miguu yako!
5. Huwezi Kutikisa Sikio Lako
ukijaribu utajikuta kichwa chako kinainama muelekeo wa sikio ulilojaribu kutikisa!
4. Huwezi Kupiga Chafya Bila Kufunga Macho!
3. Huwezi Kujitekenya