Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo. Masharti feki kibao. Mara kiendeshe shughuli zake usiku wakati watoto wamelala. Mara hivi. Halafu baadhi ya viongozi wakaanza kupotea mf. Mhazini wetu na mwanaharakati mashuhuri BAK. Mwenyekiti naye hivyo hivyo tu. Unafiki wa wanachama. Hawataki kujitokeza hadharani japo ni memba kimoyomoyo. Wanalinda status zao wasijulikane. Kwa kweli chama kimepitia wakati mgumu sana !!!Kwani mkuu hicho chama kilisimamisha shughuli zake?