ngoja aje..utaelewa tu...
ili aje!
Baby wako?
ngoja aje..utaelewa tu...
ili aje!
nn.tena faa...
Hata mimi vilevi situmii. Maji ya Kilimanjaro tu yatanitosha. Asante [emoji16][emoji16][emoji16]
kha.. .umekwenda chaka..faa...Baby wako?
Karibu AfrikaNakupenda Afrika.
na wewe .baby wako??Nakupenda Afrika.
sio kama nalalamika..ndo ilivyo ..nikisema nahisi pumzi...Kulalamika lalamika,subiri nkutag kitu kizuri mwenzetu alinandika ap nlifkir umeiona.
Usije ukachelewa sana Mangi akanikwida shatiHahahaha agiza ile chupa kubwa yao[emoji23]