Mjani toka shambani KaratuView attachment 886958
Ya mboga [emoji13]
Mjani toka shambani KaratuView attachment 886958
Mi mzima hofu kwako, kila nikuonapo nakumbuka maraha ya Katesh, Endasaki, Mbulu, Beleko, Babati nk[emoji3] [emoji3]Salaam, mzima wewe?
Mi mzima hofu kwako, kila nikuonapo nakumbuka maraha ya Katesh, Endasaki, Mbulu, Beleko, Babati nk[emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ya mboga [emoji13]
Vitongoji pendwa kaskazini mwa Tanzania, maeneo ambayo wanapatikana warembo wa makabila ya Wairaqw, wabalbaig, Wafyomi nkNdio nini iyo list?
Napita hapa
Vitongoji pendwa kaskazini mwa Tanzania, maeneo ambayo wanapatikana warembo wa makabila ya Wairaqw, wabalbaig, Wafyomi nk
JamaicaMjani toka shambani KaratuView attachment 886958
Tembelea nchi yako ujionee Neema za mwenyezi Mungu, Ukibahatika kutembelea Ngorongoro au Manyara pitapita vijini ujionee[emoji3] [emoji3] [emoji3]🤣🤣🤣🤣🤣 Ata najua basi? Shukraan kwa kunielewesha.
Tembelea nchi yako ujionee Neema za mwenyezi Mungu, Ukibahatika kutembelea Ngorongoro au Manyara pitapita vijini ujionee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wapare sio wabahili buana.Hahahaha, mpare wako ni tatizo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wewe wa wapi Same au Mwanga?Wapare sio wabahili buana.
AmenAmen nyingi sana...