eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Bingwa gazeti
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tumbo hilo ugali ama wali litajaa sahani mia nane!
AminHabari zenu rafiki...
Haya siku na iwe njema kwetu sote na wote InshaAllah..
Amani ya nafsi na upendo ule saaaafi kabisa wa mwanzo na urudi na kudumu baina yetu!
Kwa upande wangu ninaendelea vyema kabisa shemeji. Natumaini na wengine ni vivyo hivyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wapendwa wa Mungu mnaendeleaje ?