Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]beibeeee nilikua la sabaaaaaaaaa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
hongeraa
 
Serikali imetanga kuanza mpango wa mabasi ya abiria katika mikoa mitano nchini, kuanza safari za ndani na nje ya nchi saa 11 alfajiri kuanzia Oktoba 9, 2018 ili kurahisisha safari kwa abiria na kufika mapema.

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 4, 2018 jijini Arusha, katika ziara ambayo aliifanya Uwanja wa Ndege wa Arusha, amesema awali safari hizo, zilitarajiwa kuanza mapema lakini kuna masuala yaliyokuwa yanashughulikiwa na Sumatra.

"Kuanzia Jumanne ijayo, Oktoba 9, baadhi ya magari ya abiria katika mikoa mitano, Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma yataanza safari saa 11 alfajiri," amesema.
 
Amesema alitoa agizo hilo kwa mara ya kwanza, akiwa Ubungo jijini Dar es Salaam wiki mbili zilizopita lakini safari hizo zilichelewa kuanza kutokana na Sumatra kuwasiliana na vyombo vingine ikiwepo polisi na wamiliki wa mabasi ili kurekebisha ratiba.

Naibu waziri huyo, amesema hatua hiyo pia itachukuliwa kwa mikoa mingine, baada ya kujiridhisha kuwa kutakuwa na usalama.

Katibu Mkuu wa Chama cha Wasafirishaji Abiria nchini (Taboa), Enea Mrutu akizungumza na Mwananchi amesema chama hicho, kinamshukuru naibu waziri kwa kusimamia maagizo hayo.
 
Tunampongeza naibu waziri kwa kuendelea kulishughulikia suala hili ambalo litakuwa na faida kwa abiria na wasafirishaji kwani tutamaliza safari mapema zaidi," amesema.

Hata hivyo, amesema bado kuna kero nyingine tatu ambazo wanaomba Serikali izifanyie kazi ambazo ni kupunguza vituo vya ukaguzi vya polisi, kupunguza vituo vya halmashauri vya kudai ushuru na kuondolewa vibao vya kuendesha mwendo chini ya 50 katika maeneo ambayo hayana makazi na porini.
 
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imewaonya wasimamizi 'Admin' wa makundi ya Whatsapp yaliyoundwa kwenye simu za mkononi kwa kutosimamia maadili ya wanachama.

Makundi hayo ambayo huanzishwa kwa lengo mahususi yanatumika kama majukwaa ya mijadala,maelekezo ya kazi hata malumbano huku aliyeunganishwa akiwa na uhuru wa kujitoa kwenye kundi.

Onyo la TCRA dhidi ya wasimamizi wa makundi hayo limetolewa leo Oktoba 5 mjini Bukoba na ofisa wa mamlaka hiyo, Francis Mihayo wakati wa semina kwa viongozi wa mkoa wa Kagera.
 
Amesema kuwa 'admin'wanawajibika kusimamia maadili ya wanachama wao kwa kuchukua hatua ya kuwaondoa ikiwa watatoa maudhui ambayo hayana mtazamo mzuri kwenye jamii kama lugha isiyofaa.

Amewataka wasimamizi hao wa makundi hayo kutoogopa kuwaondoa wanachama wao wanaokiuka maadili kwa kuwa wao kama wasimamizi wanaweza kuchukuliwa hatua na mamlaka hiyo.

Mamlaka hiyo imekutana na viongozi wa ngazi tofauti kutoka wilaya zote za mkoa wa Kagera ambapo umetolewa ufafanuzi kuhusu uamuzi wa kuondolewa kwa chaneli za ndani kwa baadhi ya ving’amuzi.
 
FB_IMG_1532196290892.jpg
FB_IMG_1538739879454.jpg
 
Soma hii yaweza kukusaidia

On behalf of Tata Hospital, it is reported that washing vegetables and fruits brought from the market, with water mixed with one spoon of baking soda, will help clean them of any chemicals sprayed on them. This is a good way to protect against cancer.

All of you are urged to send this information to all your friends and relatives.
 
Back
Top Bottom