myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Moyo hutengeza mapenzi, *TUPENDANE.*
Nasaha haina rika, *TUKOSOWANE.*
Subira huvuta kheri, *TUVUMILIANE.*
Mauti hayana muda, *TUSAMEHEANE.*
Sahau sifa ya mja, *TUKUMBUSHANE.*
Salamu haina mkubwa wala mdogo,
"Asalaam Aleykum Warahmatullah wabarakatuh "..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Majukumu weekend hii nipo mkuuJukwaani hatukuoni ila jina lako zito busara zako muhimu kule
Karibu sana ila mashaka yeahaingia mjengoni mana ile hali yanitaly inaleta maswaliMajukumu weekend hii nipo mkuu
*WAMASAI WAPIMWE AKILI*
*Mtu anavaa shuka 3 TAKO bado liko wazi*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]*Dadaangu ukiona mwanaume kakupenda na huna tako ujue kajitoa muhanga mng'ang'anie huyo*[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]tunasamehe kwa muda
Combinenga ya mane na salah naona imekuwa mfu sijui klop afanyajeKaribu sana ila mashaka yeahaingia mjengoni mana ile hali yanitaly inaleta maswali
Hana jipya Klop kila siku vile vile tuuu ni hatari sana kwa wajuzi kama AcelloteCombinenga ya mane na salah naona imekuwa mfu sijui klop afanyaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Anauzi sana nafikiri mmoja mane au salah akae benchi kwanzaHana jipya Klop kila siku vile vile tuuu ni hatari sana kwa wajuzi kama Acellote
22:0822:06