mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wapi Jakitoo
Hana jipya Klop kila siku vile vile tuuu ni hatari sana kwa wajuzi kama Acellote
Daa tayari mmeshamchoka?Anauzi sana nafikiri mmoja mane au salah akae benchi kwanza
Sijui..Wapi HARUFU
Amepotea sana..Wapi Konge
Wapi BOB 12
MmuWapi Baby Dolly
Haonekani banaWapi Jakitoo
Jamaa yetu amepotea sanaWapi BAK
Analanda landa majukwaani hukoWapi Kichwa kichafu