Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa msaada puliiizii
tapatalk_1538850085859.jpeg
 
Hapana. Usinipe pole maana bado nimeinama nazidi kuchungulia kwa kuzunguka,labda ntapata engo yenye kuonyesha japo... [emoji12][emoji12][emoji12]View attachment 888919
Umenishtua ujue??utaniua kwa puresha we mzee

Teh!simama uiname hapo upande wa kushoto kwenye kona[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila tushirikiane kumlaumu mpiga picha kwa uzembe wake. Angesimama upande wa huku, kila kitu yaani.... Peupeeeee peee... Aaah macho weee machoooo.... Unapigwa vita na binadamu machoooo...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shuaini za mpiga picha kwa kukukosesha kuona vituz.

Ukawe na usiku mwema shem[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom