Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,142
You are hitting where it hurts...ha ha haaaaAchana naye hana pesa huyo
Nakupenda wewe tuTukae mbali kwenye sayari yetu
Kichwa kichafu hana bahati, huwa nikipenda napenda kweli kweli na niko tayari kumpata kwa gharama yoyote roho yangu itulieeeKichwa Kichafu kaa chonjo.
Uli-delete sasa wengine wanataka ku-download...
Naupenda huu uzi aisee
Hapo kaa mbali mtoto nimetoka nae mbali huyoNataka kurekebisha mikata ya madini ili tuchenjulie makinikia humuhumu..worry out kijana
Chukua hiyo. Nipo Macho kodoLike kama bado hujalala[emoji126]
Ukhuty hajambo?Unaniua jmniii!!