cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Oyeeeeeeee
Si unielewe tu kipenziii?Jamaniiii
[emoji320] [emoji257]
Ni mambo ya kuchangamsha jukwaa tu ili wadau waongeze kasi ya kuchangia ila sijasema kwa ubayaZimeshafika milioni moja tayari?
Makapuku waacheni kwa sababu nayo wana yao tofauti na huku....
We can co-exist !!!
Aidia mzuri sana pongezi kwako mwifwaGonga like kila page na reply kila ukifika page mpya angalau replies kuanzia moja.
Mwendo mdundo.
Sema kweliNimekupenda hakuna mfano wake mamii
Nitamtag hapa aje huku nivuruge kila kitu.Nimekupenda hakuna mfano wake mamii
Japo yeye hakupendiiNakupenda wewe tu