Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa ni tatizo kwa wanaume walio wengi ..
Wengi wao huwa na upendo wa kuigiza tu mwanzo, ila baada ya hapo ni mchaka mchaka kwa kwenda mbele.
Yaani nyie mngetuelewa wanaume tulivyo viumbe simpo wala kusingekuwa na hii mikanganyiko. Itabidi nianze kuandika makala kuhusu haya mambo ili kuwasaidia aisee. Sad [emoji55][emoji55][emoji55]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…