moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mwenyezi Mungu akujaaliePanapo majaliwa nategemea kupata Twins
Mwenyezi Mungu akujaaliePanapo majaliwa nategemea kupata Twins
Sio visa ndg. yangu.Mna visa nyie
Hongera sana! Mmoja utampatia jina langu[emoji23]Panapo majaliwa nategemea kupata Twins
😂😂😂😂😂Mbona wakati hujamuoa ulikuwa unaenda kwao kusaidia kazi na ulikuwa unajitoa sana kwa hilo na inawezekana ndo sababu alikubali umuoe sasa yupo ndani humsaidii tena na unalalamika kwamba kitandani amepoa ni baridi! Anza wewe kwanza kwa kumpa kila anataka.
😂😂😂😂😂
Hapa ni tatizo kwa wanaume walio wengi ..Mbona wakati hujamuoa ulikuwa unaenda kwao kusaidia kazi na ulikuwa unajitoa sana kwa hilo na inawezekana ndo sababu alikubali umuoe sasa yupo ndani humsaidii tena na unalalamika kwamba kitandani amepoa ni baridi! Anza wewe kwanza kwa kumpa kila anataka.
Ndipo ndoa zinapogeuka ndoanoHapa ni tatizo kwa wanaume walio wengi ..
Wengi wao huwa na upendo wa kuigiza tu mwanzo, ila baada ya hapo ni mchaka mchaka kwa kwenda mbele.