myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani na upendo
Nakupa details PM muda si mrefu.Bei gani??
Hakika mia mia[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
MAMA NA BABA
MAMA: anakupenda mpaka ukimtazama machoni unauona upendo wake.
BABA: anakupenda bila kuonesha dalili yoyote machoni.
MAMA: amekutambulisha duniani.
BABA: ameitambulisha dunia kwako.
MAMA: amekuonesha thamani ya uhai.
BABA: amekuonesha thamani ya kuishi.
MAMA: anahakikisha haupati njaa.
BABA: anahakikisha unajifunza kutokana na njaa.
MAMA: anakulinda usianguke.
BABA: anakufunza kunyanyuka baada ya kuanguka.
MAMA: alikufunza kupiga hatua na kutembea utotoni.
BABA: anakufunza kupiga hatua za kimaisha.
MAMA: anahakikisha unajifunza kutokana na uzoefu aliopitia yeye.
BABA: anahakikisha unajifunza kutokana na uzoefu unaopitia wewe mwenyewe.
MAMA: anakufunza kwa tafakuri.
BABA: anakufunza kwa uhalisia.
MAMA: kupitia kwake unajifunza kujali.
BABA: kupitia kwake utajifunza kuwajibika.
HahahahaSiku zote Mkulu anabusara na anaona mbali...Basi bila shaka yajayo yanafurahisha...
##TUFYATUE##
Poa Bro,Ni Harrier hiyo ama?
Nakuja PM bro...
Indeed in Isis's voice
Barikiwa sanaWawili breastfeeding no formula.
HahahahaHuyo bro.wako katindinganya mambo aisee[emoji23]
[emoji106]Nakupa details PM muda si mrefu.