Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lulu Jemimah, raia wa Uganda na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza ameamua kujioa mwenyewe baada ya maneno ya kila wakati toka kwa wazazi & ndugu kutaka aolewe. Lulu mwenye umri wa miaka 32 ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika chuo hicho mashuhuri duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…