Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BiKWT1iAaG4.jpg
 
Wanajf habarini za asubuhi.

Leo asubuhi nilipokea sms kutoka kwa mwanaJF mwenzetu Tutor B. katika ujumbe wake aliandika kuwa anaumwa sana.

Baada ya kusoma ujumbe huo nilimpigia akakata simu, akaandika tena sms akisema nisimpigie ila nitume sms kwa kuwa anaumwa sana kichwa na kwamba amezuiliwa kuongea na simu kwa muda wa siku 90.

Lakini sasa kitu ambacho sijamuelewa ni hizi sms zake ambazo ambazo alinitumia kwa mfululizo, Hapa nitazinukuu.

1.Wajulishe wanaJF, unisaidie kuwaaga
2.Waage kabisa, taarifa zingine mtapata kwa redio na TV
3. Waambie tuonane ulimwengu wa roho
Nikamuuliza swali, ina maana hutaingia tena JF? akanijibu:
4. Nitaingiaje wakati naenda kwa baba? Nasikitika kuondoka...
5. Najisikia kuhama ulimwenguni kuna sehemu nyingine nzuri zaidi
6. Vipi mbona unaguna? Pole kwa kunipoteza.

Na bado hadi muda huu anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF

Nimeona tu niweke huu uzi hapa maana, simuelewi huyu member kwa haya anayonitumia kwenye sms.
 
JAMANI MI NAHITAJI MSICHANA MZURI MWENYE KAZI TUAZISHE MAHUSIANO ILA ASINIOMBE PESA WALA MIMI SITOHITAJI PESA YAKE ITAKUWA NI MWENDO WA KUGEGEDANA TU. SITAKI USUMBUFU WA KUOMBWAOMBWA PESA MIMI. NJOO PM KM UKO TAYAREEEE
Hakuna kitu kama hicho, raha ya kuwa na mpenzi pia kuambatane na kuhongana. Ni kweli mizinga ya ovyo inazingua lakini hongo lazima ihusike, hata kama wewe au yeye anajimudu utamnunulia hiki au kile ili kufurahia mahaba mliyonayo[emoji16]
 
Wanajf habarini za asubuhi.

Leo asubuhi nilipokea sms kutoka kwa mwanaJF mwenzetu Tutor B. katika ujumbe wake aliandika kuwa anaumwa sana.

Baada ya kusoma ujumbe huo nilimpigia akakata simu, akaandika tena sms akisema nisimpigie ila nitume sms kwa kuwa anaumwa sana kichwa na kwamba amezuiliwa kuongea na simu kwa muda wa siku 90.

Lakini sasa kitu ambacho sijamuelewa ni hizi sms zake ambazo ambazo alinitumia kwa mfululizo, Hapa nitazinukuu.

1.Wajulishe wanaJF, unisaidie kuwaaga
2.Waage kabisa, taarifa zingine mtapata kwa redio na TV
3. Waambie tuonane ulimwengu wa roho
Nikamuuliza swali, ina maana hutaingia tena JF? akanijibu:
4. Nitaingiaje wakati naenda kwa baba? Nasikitika kuondoka...
5. Najisikia kuhama ulimwenguni kuna sehemu nyingine nzuri zaidi
6. Vipi mbona unaguna? Pole kwa kunipoteza.

Na bado hadi muda huu anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF

Nimeona tu niweke huu uzi hapa maana, simuelewi huyu member kwa haya anayonitumia kwenye sms.
Ahsante kwa taarifa Numbisa , mtie moyo atapona tuu.
 
Hakuna kitu kama hicho, raha ya kuwa na mpenzi pia kuambatane na kuhongana. Ni kweli mizinga ya ovyo inazingua lakini hongo lazima ihusike, hata kama wewe au yeye anajimudu utamnunulia hiki au kile ili kufurahia mahaba mliyonayo[emoji16]
sawa hiyo ni kweli mi nachokataa ni mizinga ya hapa na pale mara ooh nataka kwenda salon hiyo ctak
 
Back
Top Bottom