Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa alimuoa haraka haraka ili kuepusha aibu...Mambo mengine inabidi upotezee tu ili kuepusha shari...
Ni kweli mkuu lakini dah inauma sana kuna sehemu nilipita naambiwa kuna mtoto kafanana na wewe kila aisee nilirudi kumuuliza yule binti mwanzo aligoma baadaye akakiri mtoto ni wangu nimembeba nipo naye siachi damu yangu nje kwa kweli
 
Wish kubwa ya mama watoto ni kupata mapacha sasa this time ilipoingia tu kucheki himo twins yaani full magego ana furaha sijawahi ona hapo watoto hajawaona siku akijifungua sijui itakuwaje
Jiandae kisaikolojia[emoji16] [emoji16] wakija mapacha upendo utahamia huko, mpaka awachoke ndiyo ukumbukwe[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Kuna mmoja alizaa mapacha ila watoto nikadhulumiwa akapewa mwingine aliyekuwa kwenye process ya kuoa. Watoto lakini ni copyright kabisa na alishawaleta home tukawaona ila ndo hivyo tena nshadhulumiwa. Vivulala tena very smart shuleni. Basi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungedondosha mashairi upewe wanao[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Ni kweli mkuu lakini dah inauma sana kuna sehemu nilipita naambiwa kuna mtoto kafanana na wewe kila aisee nilirudi kumuuliza yule binti mwanzo aligoma baadaye akakiri mtoto ni wangu nimembeba nipo naye siachi damu yangu nje kwa kweli
Una bahati. Angekuwa na mume halafu huyo mume anaamini huyo ni mwanae ungefanyeje?
 
Back
Top Bottom