Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mmoja alizaa mapacha ila watoto nikadhulumiwa akapewa mwingine aliyekuwa kwenye process ya kuoa. Watoto lakini ni copyright kabisa na alishawaleta home tukawaona ila ndo hivyo tena nshadhulumiwa. Vivulala tena very smart shuleni. Basi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee mm nisingekubali bro kwenye damu yangu hapana
 
Kuna mmoja alizaa mapacha ila watoto nikadhulumiwa akapewa mwingine aliyekuwa kwenye process ya kuoa. Watoto lakini ni copyright kabisa na alishawaleta home tukawaona ila ndo hivyo tena nshadhulumiwa. Vivulala tena very smart shuleni. Basi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]
Pole, si ungeoa wewe ambaye tayari ulikuwa ushatia alama yako?
Walihisi hauwezi kumlea mama na watoto?
 
Back
Top Bottom