Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Kwani wa mzee wa liver haupo vizuri??Kusia mbegu kama mzee wa liver sio?
Hapana, mimi naenda kulala, mzunguko wangu wa damu upo vizuri.
cc: Numbisa
Kwani wa mzee wa liver haupo vizuri??Kusia mbegu kama mzee wa liver sio?
Hapana, mimi naenda kulala, mzunguko wangu wa damu upo vizuri.
cc: Numbisa
HahahaUnakwenda kufyatua TWINS???
Sijamaanisha hivyo, kama wanaexpect twins huenda ukawa among the best.Labda wewe Prof useme tofauti.Kwani wa mzee wa liver haupo vizuri??
Hujajibu swali langu mkuu. Ulifanya cho chote kwa upande wako au imetokea tu?Wish kubwa ya mama watoto ni kupata mapacha sasa this time ilipoingia tu kucheki himo twins yaani full magego ana furaha sijawahi ona hapo watoto hajawaona siku akijifungua sijui itakuwaje
Mkuu umebugi mbona hawa ni marafiki sana na binadamuGhost
Trial & error[emoji23][emoji23]Unatakiwa ufanye pratical hili ujue inakuwaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
Namsindikiza prof jamani.Muwe na usiku mwema..
#####Onelove######
Naona hii imetokea bahati sina ujuzi wa kufyatua mapacha hila show za kibabe nimo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah! Liva bwana, nikihitaji mapacha nitakutafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa panga foleni kama wahitaji mapacha.
Na kwako piaMuwe na usiku mwema..
#####Onelove######
Jamanii...Aaah! Liva bwana, nikihitaji mapacha nitakutafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa panga foleni kama wahitaji mapacha.
Nawe una ujuzi huo??Jamanii...
Na mimi msinisahau....[emoji2321][emoji2321][emoji2321]
Naona imetokea tu mkuu sijafanya chochoteHujajibu swali langu mkuu. Ulifanya cho chote kwa upande wako au imetokea tu?
Nilijua tu, huwezi kupita kimya kimya [emoji23]Ofa za Kumwaga kwake mzee wa liver[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji16]
Hahaha broJamanii...
Na mimi msinisahau....[emoji2321][emoji2321][emoji2321]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ofa za Kumwaga kwake mzee wa liver[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji16]
Masharti yao huwa magumu sana. Inabidi uwe na medical records mpaka za mababu. Uwe mrefu. No diseases. Uwe nguli wa hesabu na muziki. IQ ya juu sana. No criminal record. Nywele na macho sijui vikoje....