Beef hujambo?
Huku poa kabisa. Safari hii usiondoke tena. Hata ukitaniwa vipi kuhusu vidole vyako [emoji16][emoji16][emoji16]Obrigado bro, tupo pamoja kunogesha lisiredi sasa. vipi kwema lakini?
Me sijambo , namshukuru Mungu.Beef hujambo?
Hahahah sawa bro safari hii tupo pamoja sana tu, alafu naona kama nyumbani hapana uchangamfu tena kuna shida gani?Huku poa kabisa. Safari hii usiondoke tena. Hata ukitaniwa vipi kuhusu vidole vyako [emoji16][emoji16][emoji16]