Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HAHAHAAAA.........................UTAKUWA NI MBUNGE AISEE
 
Wanawake Bhana
Jamaa ukiwa
humtaki ndo
unamshitaki kwa
Bwanaako et
msumbufu ila
ukikubali shoo
yanaishia hukohuko
na simu waficha
 
Mwanaume anaweza kuishi na mwanamke
acye na kazi,kibarua wala biashara kwa
miaka zaidi ya hata 10 na akawa mwenye
furaha na amani
Lakini mwanamke kuishi na mwaume acye
na kazi wala kibarua cku 5 tuuu jamii yote
itagundua kuwa jamaa hana kazi
 
Kuna Rafiki angu mzungu amekuja Tanzania
akitokea Sweden, Ameniambia amependa
utamaduni wetu wa hapa kijijini kusomea
Magazeti Chooni. " Sijui Nimwambie Ukweli ??
"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…