Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

There are 2 types of girls in this world,, kuna wale wakiwa hurt, they will cry alone, lakini sasa kuna hii species ingine itapost *crying with Roy and 132 others* utadhani wako matanga ya Kofi Annan[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji703][emoji703][emoji703][emoji703]
 
# ujinga ni nini ?
~kutoa mimba halafu unalala na midoli
ujinga ni kuweka vocha simu, wakati data iko
on.
ujinga ni kuacha kupalilia viazi shambani n
kwenda hotelini kununua chips.
ujinga ni kununua kiberiti na kutaste zote
kama zinawaka.
ujinga ni kumwambia demu nkupnda na
kusubiri jibu wakt ujauliza swali
ujinga ni kuzifuta namba ya demu wako
wakati unazo kichwani
ujinga ni kuosha ndiz maganda yake na bado
unamenya na kuyatupa.
ujinga ni kusema upo single wakti una mtoto
wew ni chizi
ujinga ni kukariri vitu ambavyo INA maana
mbili mfn r.I.p. relationship in progressive
( mahusiano yanaendelea)
# taja ujinga mwingine# maana ujinga ni kusoma
alfu usitaje huo ni ujinga na nusu kama ni bifu
iwe bifu na robo!
 
BcZhzlkAwyd.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UJINGA NI NIN?
Ujinga ni kumtumia demu mliekutana fb nauli
ya kutoka mwanza to dar
Halafu unakuta mtu unasema katika maisha
yako hujawahi kubet.
 
Huu ni ujinga kuwatoa wanafunzi Darasani ili
wakampokee Mwenyekiti wa uvccm taifa
unatakiwa kupingwa na kila mtanzania anaepinga
ujinga nchini, harafu zinapikwa propaganda eti
wamemsimamisha, kwa umaarufu gani hata Mimi
ninamzidi mpaka Asimamishwe.
Ccm ipo kwa adhini ya watu wajinga ndio maana
ujinga na unyonge kwao ni sifa yaani mpaka
wanarais wao wa Maskini Bora Rais wa Wasafi
maana anahamasisha watu wawe maskini kuliko
rais wa maskini maana anawahamsisha watu
waone umaskini ni sifa.
Oooh Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siasa - chanzo kimojawapo kikuu cha mood swings, depression, hasira kali, mapovu na hata suicide. Ndiyo maana wengine tuna miezi hatujakanyaga jukwaa la siasa
 
Back
Top Bottom