Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Sio kweli bana.Hivyo eenhe??
Yanapoanza huwa ni matamu zaidi ya asali
Yanapokufa.... huwa ni zaidi ya shubiri...
Penda ufe!
You will miss a lot ukiwa na upendo wa kuigiza.
Sio kweli bana.Hivyo eenhe??
Yanapoanza huwa ni matamu zaidi ya asali
Yanapokufa.... huwa ni zaidi ya shubiri...
Penda ufe!
Huo wa kweli ndio umeuwa wengi..Sio kweli bana.
You will miss a lot ukiwa na upendo wa kuigiza.
HahahahahahChukua hii picha peleka kwa fundi. Nenda naye na atapimwa vizuri tu...
Hii mali ni Domestic kabisa kwa mujibu wa miguu na kitanda pia
nimecheka!Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi...
Kuku wa kienyeji huyo bro....beautifulHii mali ni Domestic kabisa kwa mujibu wa miguu na kitanda pia
Hapo inabidi ufanye maagano na nyonga kwanza!