myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua mkubwa
Finally
[emoji23][emoji23][emoji23]Ya JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha!! Ya mapenzi ama ya unga???[emoji23]
Biashara za siku hizi watu hawaweki taarifa kamili wanapenda vile unauliza uliza, poa nitakutag mtu wanguAkijibu ni tag davet
Kuogelea ni skill ambayo kila mtu inabidi awe nayo. Juzi tu hapa janaume pandikizi la miraba minne futi sita kabisa lilifakamia maji kwenye swimming pool mpaka watu wanapiga 911. Kujionyesha onyesha tu kwa mademu limeacha huku kwenye maji mafupi na kwenda kwenye kina kirefu futi 9. Ilikuwa patashika nguo kuchanika.Jamani tukiwa vyombo tusiogelee.
RIP Pancho
Illusion...Nilidhani mzee kaweka mkono ikulu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimekumiss piaa Davet [emoji4][emoji4]Mambo mabaya nimekumiss sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji6][emoji6][emoji6]Hahahahah
Ndiyo !!!kwani kununua 'changudoa' ni kosa la kisheria?