hapana mkuu huyu sio type ya kwetu huku .. labda huko na mtumbo .. huku wavae skirt ndefu kama hiyo wamerogwa au ""!!!?Wasichana wa DarView attachment 893184
Safii moud... Habari yako?Jaki mambo
Dar kila kitu kipo mkuu, wakaa uchi wapo na wanaovaa pia wapo. Wachawi wapo na wachamungu wapo.hapana mkuu huyu sio type ya kwetu huku .. labda huko na mtumbo .. huku wavae skirt ndefu kama hiyo wamerogwa au ""!!!?
Njema jaki, mzimaSafii moud... Habari yako?
daaahh sasa mkuu unadhani ikiwekwa nembo ya dar itakuwa ni yenye taswira ipi "??Dar kila kitu kipo mkuu, wakaa uchi wapo na wanaovaa pia wapo. Wachawi wapo na wachamungu wapo.