Mi nitakuwa salama. I take these things seriously. Niondoke na kimbunga vimbaumbau wangu hapa kwenye uzi si mtazidi kukonda? Nani atawatandika skrinishoti? [emoji16][emoji16][emoji16]Hope upo maeneo salama
Maombi kabla ya kuanza kazi
[emoji38][emoji38]Mi nitakuwa salama. I take these things seriously. Niondoke na kimbunga vimbaumbau wangu hapa kwenye uzi si mtazidi kukonda? Nani atawatandika skrinishoti? [emoji16][emoji16][emoji16]
Muda wa ibaada
Asante kamanda. Mambo kama haya yapo ili kutukumbusha kuwa pamoja na maarifa na akili zetu zote bado sisi ni viumbe tu na kuna nguvu zilizo juu ya uwezo wetu. Mungu ni mwema !!!Mwenyezi Mungu akulinde wewe na viumbe wengine wote huko na kote kinapopita kimbunga hicho
[emoji106] [emoji106]
[emoji16][emoji16][emoji16]punguza ukali wa manenoKula? Kuchamba je?
[emoji120] [emoji120]
Ndiyo burudani yenyewe hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa huyu hapa ile peremende mbona ameicha wazi kabisa na vikalio vyake vilivyoota sugu!!!![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji736] [emoji736]
[emoji106] [emoji106]
Hapo sasa. Msukuma katinga jijini [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtoto wa Msoga huyo...Nguli wa siasa za Bongo....Mshua [emoji16][emoji16][emoji16]